@h_a_holidays inayo furaha kubwa kuwa moja ya wadau watakao sherehekea Siku ya Mwanamke Duniani, March 2023, pamoja na @dorismollelfoundation wakishirikiana na @rahazapwanitz wameandaa tafrija maalum, ambayo dhumuni lake kubwa ni kufanikisha kuweza kuokoa maisha ya mtoto njiti, ni baraka ilioje kusherehekea siku yetu wanawake huku ukijua unaokoa maisha ya mtoto
—
Tafrija hiyo itakayofanyika Zanzibar Machi 11 2023 katika hotel ya @hotelverde_znz, na @h_a_holidays tutahusika kwenye kuhakikisha usafiri na malazi ya washiriki wote yapo katika mikono salama na yanazingatiwa
—
#IWD2023 #EmbraceEquity #PrematureBabiesAwareness #FeedYourWanderlust🗺️